Wafanyabiashara wa Soko kuu la Mji mdogo wa Himo Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro,wamelalamikia tatizo la mrundikano wa taka kwenye dampo la soko hilo hali ambayo inaweza kuwasababishia magonjwa ya mlipuko kama kipindipindu hasa kipindi hiki cha mvua. Maswali Hali ya usafi wa masoko...
Kanisa la FPCT Tanzania lina mpango wa kupanua wigo wa idara ya midia ili kuwafikia watu wengi nchini . Hayo yameelezwa na Askofu mkuu wa kanisa la FPCT Tanzania STIVIE MULENGA katika ziara yake ambayo ameifanya mkoani Arusha. Aidha Askofu Mulenga amesema mbali na kupanua wigo kwa...
Habari Maalum ni Radio inayomilikiwa na Kanisa la FREE PENTECOSTAL CHURCH OF TANZANIA(FPCT) na ilianza mwaka 1974 Marangu Mkoani Kilimnjaro. 1982 Ikahamia Arusha Mjini na Mwaka 1984 ikahamia Ngaramtoni. Karibu sana tuwe sote